LOCAL
Home LOCAL
WAZIRI MKUU AMPONGEZA DKT. MWINYI KWA MAPINDUZI YA SEKTA YA ELIMU
Asisitiza Serikali kuendelea kuwekeza katika elimu inayojenga ujuzi na maarifa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amezindua Skuli ya Sekondari ya Chukwani...
DKT. MWIGULU AFUNGUA SKULI YA CHUKWANI, ZANZIBAR
Ampongeza Dkt. Mwinyi kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa...
TASAF KUANZA KUTEKELEZA MIRADI YAKE INAYOFADHILIWA NA OPEC FUND ZANZIBAR
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Shedrack Mziray amesema miradi ya maendeleo ya Jamii inayotekelezwa na Mfuko huo...
USHIRIKISHWAJI WA JAMII NI NGUZO MUHIMU YA UTUNZAJI WA RASILIMALI ZA...
http://USHIRIKISHWAJI WA JAMII NI NGUZO MUHIMU YA UTUNZAJI WA RASILIMALI ZA BAHARI
Mwamvua Mwinyi, Mafia
January 1,2026
Ushirikishwaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa mazingira, hususan...
SHIRIKA LA NYUMBA LAMALIZA MWAKA KWA KUMPA FARAJA MLEMAVU WILAYANI SIMANJIRO
Na Mwandishi Wetu, Mirerani, Manyara
Shirika la Nyumba la Taifa limeumaliza mwaka kwa faraja kwa kuikabidhi Halmashauri ya Wilaya Simanjiro nyumba yenye thamani ya shilingi...
DKT MWIGULU: VIONGOZI WA DINI ENDELEENI KUTOA ELIMU YA UMOJA...
_Atoa wito kwa Watanzania kuhimiza umoja na amani_.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa...










