HUGHES DUGILO
KATIBU MKUU WA CCM Dkt. MIGIRO ASHIRIKI MKUTANO WA WAZEE WA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro ameshiriki mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika Kituo cha...
TUTAENDELEA KUILINDA NCHI YETU, USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO...
Na: Mwandishi Wetu, DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itaendelea kuhakikisha amani, utulivu na mshikamano...
DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VVU (ARV) ZIPO KWA ASILIMIA 100...
Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Mhe. William V. Lukuvi, amewahakikishia Watanzania kuwa...
SHADE MALIEN 2-1 SIMBA SC
Klabu ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imepokea kichapo cha mabao 2–1 dhidi ya Stade Malien ya nchini Mali, katika mchezo wa hatua ya...
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AKITETA JAMBO NA DKT. MIGIRO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu...







