Home LOCAL DAWASA KUZIMA MTAMBO RUVU CHINI KWA SAA 36

DAWASA KUZIMA MTAMBO RUVU CHINI KWA SAA 36

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) inawatangazia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kusambaza maji wa RUVU chini uliopo Wilayani Bagamoyo kuwa Mtambo huo utazimwa kwa saa 36 siku ya Jumatatu Januari 30-2023

Lengo ni kuruhusu kazi ya kusafisha mifumo yote ya mitambo ikiwemo machujio, matanki yote ya maji na mabomba Makuu yote ya kusafirisha maji kutoka katika Mtambo huo.

Kutokana na kazi hiyo, maeneo yanayohudumiwa na Mtambo huo yatakosa huduma ya maji kuanzia Jumatatu asubuhi hadi jumanne jioni kama yanavyosomeka katika taarifa ya DAWASA. 👇👇

Previous articleWAZIRI WA MASUALA YA UCHUMI WA FINLAND AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Next articleJUMUIYA YA WAZAZI KIMANGA MABALOZI SHULE YA KIMANGA 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here