Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa na mafunzo ya ufundi kuhusu namna Wizara inavyozingatia umuhimu wa uelewa wa mkakati wa kuhusisha somo la dawa za kulevya katika mitaala kuanzia elimu ya msingi hadi elimu ya juu kilichofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 5, 2021, Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo.
Kamishna wa Kitengo cha Kinga na Tiba wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. Dk. Peter Mfisi akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi (hawapo kwenye picha) wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa na mafunzo ya ufundi kuhusu namna Wizara inavyozingatia umuhimu wa uelewa wa mkakati wa kuhusisha somo la dawa za kulevya katika mitaala kuanzia elimu ya msingi hadi elimu ya juu kilichofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 5, 2021,
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Stanslaus Nyongo akichangia jambo wakati kamati hiyo ilipopokea na kujadili taarifa na mafunzo ya ufundi kuhusu namna Wizara inavyozingatia umuhimu wa uelewa wa mkakati wa kuhusisha somo la dawa za kulevya katika mitaala kuanzia elimu ya msingi hadi elimu ya juu katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 5, 2021.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, wakifuatilia majadiliano wakati kamati hiyo ilipopokea na kujadili taarifa na mafunzo ya ufundi kuhusu namna Wizara inavyozingatia umuhimu wa uelewa wa mkakati wa kuhusisha somo la dawa za kulevya katika mitaala kuanzia elimu ya msingi hadi elimu ya juu katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 5, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)