WACHIMBAJI WADOGO WANAMCHANGO MKUBWA WA KUKUZA UCHUMI WA TANZANIA.

0

 Na:Simon Mghendi, KahamaWaziri wa Madini Doto Biteko amesema kuwa wachimbaji wadogo wa madini nchini wamekua na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa.Biteko ameyasema hayo  Wakati akikabizi leseni za uchimbaji wa madini kwa wachimbaji wadogo katika mgodi wa Mwabomba uliopo halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.Pia biteko alitumia fursa hiyo kuwaasa wachimbaji wadogo nchini kuacha majungu na kuoneana wivu...

KATIBU MKUU MIGIRE AWAASA WADAU WA USAFIRISHAJI MAJINI

0

Katibu mkuu wizara ya Ujenzi na uchukuzi Gabriel Migire akizungumza na waandishi wa habari kwenye Kakao kaziMkurugenzi wa TASAC, Bwana Kaim Mkeyenge akizungumza na waandishi wa habari.Na: Richard Mrusha.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Gabriel Migire amewataka shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kuhakikisha shughuli zao wanazifanya kwa uwazi kwa kuwashirikisha wadau ili kuepusha malalamiko yanayotokea.Agizo hilo...

MAGAZETI YA LEO J.MOSI MEI 8-2021

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt....

SERIKALI KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KUDHIBITI UHAMISHO WA WATUMISHI.

0

 Na:Maiko Luoga.Serikali imeandaa mfumo wa kielektroniki  ili kuchuja kwa uhakika uhamisho wote unaoombwa na kuwezesha Watumishi wa maeneo ya Vijijini kubaki katika maeneo hayo wakiendelea na majukumu yao badala ya kuomba kuhamia maeneo ya mijini.Hayo yamesemwa mei 06/2021 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt, Festo Dugange wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...

TWCC YAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA KUONGEZA FURSA ZA KIBIASHARA NA KENYA.

0

Mwenyekiti wa TWCC Taifa Bi. Mercy Silla Akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) Katika mkutano wao maalum wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ofisini  kwao Jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Bodi ya TWCC wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Mercy Silla wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kumpongeza Mhe....