SIMBA SC YAFA KIUME DIMBA LA MKAPA YAICHAPA CHIEFS 3-0
DAR ES SALAAM.Klabuya Simba Sc imeishindwa kufuzu hatua ya nusu fainali licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya nchini Afika Kusini katika michuano ya klabu bingwa Afrika.Simba imepata magoli hayo katika uwanja wa Benjamini Mkapa hivyo kufanya matokeo kuwa 3-4 Kaizer Chiefs kupata faida kwa mabao aliyofunga katika hatua ya kwanza walipokutana.Mabao ya...
RAMANI ZA UJENZI SASA KUPELEKWA ZIMAMOTO.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(Kushoto), akiukagua msokoto wa bangi wakati alipotembelea Banda la Jeshi la Polisi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto ambapo alipata maelezo mbalimbali kuhusu madawa ya kulevya na jinsi jeshi la polisi linavyodhibiti uhalifu unaohusiana na dawa za kulevya nchini.Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Tumbaku mkoani...
CHONGOLO AWATEMBELEA WAHARIRI WALIOPO KWENYE MKUTANO WA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI MOROGORO, LEO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakiwa katika ya kumbukumbu na Wahariri wa Vyombo vya Habari ambao wapo mjini Morogoro kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Chongolo akuwa na msafara wake, amekutana na Wahariri hao alipoenda kuwasalimia, leo.Zifuatazo ni picha mbalimbali Chongolo...
MCHEBGERWA ASEMA MAKATIBU MAHUSUSI NI KADA INAYOTEGEMEWA NA SERIKALI AMWAGIZA KATIBU MKUU KUMPA KAZIDATA YA KADA HIYO NDANI YA MIEZI MITATU.
WAZIRI Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe:Mohamed Mchengerwa akiongea na makatibu mahususi katika mkutano wao uliofanyika Arusha.Mwenyekiti wa TAPSEA Bi Zuhura Songambele Maganga akizungumza katika mkutano wao wa 6 Mkoani Arusha.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.waziri ofisi ya rais menejimenti ya utumishi mma utawala bora Mhe:Mohamed Mchengerwa amesema kuwa kada ya makatibu mahususi ni kada...
SERIKALI YASISITIZA UPATIKANAJI WA TAARIFA SAHIHI ZA UVUVI MDOGO
Mgeni rasmi,Kaimu Mkurugenzi, idara ya utafiti, Mafunzo na Ugani (DRTE) Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Erastus Mosha akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya wadau wa sekta ya uvuvi ya uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti wa mchango wa uvuvi mdogo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi.Warsha hiyo inayofanyika (20-21.5.2021) kwenye hoteli ya Edema mjini Morogoro...