SERIKALI KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KUDHIBITI UHAMISHO WA WATUMISHI.
Na:Maiko Luoga.Serikali imeandaa mfumo wa kielektroniki ili kuchuja kwa uhakika uhamisho wote unaoombwa na kuwezesha Watumishi wa maeneo ya Vijijini kubaki katika maeneo hayo...
TWCC YAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA KUONGEZA FURSA ZA KIBIASHARA NA KENYA.
Mwenyekiti wa TWCC Taifa Bi. Mercy Silla Akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) Katika mkutano wao maalum wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya...
SHINYANGA YAPOKEA MILIONI 167.4 KWA AJILI YA ZOEZI LA KINGATIBA ZA KICHOCHO NA...
kuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Zainab Telack akifungua kikao kazi Cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele kwa Viongozi wa Mkoa na...
HABARI KUU ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 6-2025
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
DENMARK YATOA RUZUKU YANYONGEZA SH. BILIONI 1.6 KWA FCS KUSAIDIA MIRADI YA ASASI ZA...
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing- Spandet (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba...