HABARI KUU ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 13-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
THBUB YATOA TAMKO KUFUATIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Dkt. Fatma Khalfan akisoma Tamko la Tume kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
MUFTI : SIKUKUU YA EID NI IJUMAA MEI 14-2021
DAR ES SALAAMMufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amesema hakuna taarifa za kuandama kwa mwezi leo na hivyo Waislamu wataendelea...
MAMILIONI YA WAGONJWA WATIBIWA NA WAUGUZI WA TAMISEMI-DK.GRACE
Na: Nteghenjwa Hosseah, ManyaraNaibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Grace Maghembe...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UINGEREZA ANAYESHUHULIKIA AFRIKA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA MWERA...
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza...