RAIS SAMIA AWAPAISHA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MADINI
* Dkt. Biteko asema uwezo wa wanawake sekta ya madini hautiliwi shaka
* Ushiriki wa wanawake katika madini kukuza mnyororo wa thamani
*Sh. Bilioni 10 kuwezesha...
WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI NA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO
Waandishi wa habari wametakiwa kuendelea kuandika habari kwa kuzingatia ueledi, maadili, na misingi ya taaluma, huku wakilinda faragha na utu wa...
TAJIRI ALETA MAMBO YA AJABU KWA MKE WANGU ILA….!
Kusema kweli wahenga hawakukosea waliposema ukistaajabu ya musa utayaoana ya firauni, huu ni msemo ambao hadi sasa unaishi katika maisha ya watu na jamii...
ROSE MHANDO: MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUTUGOMBANISHA
DAR ES SALAAM
Mwimbaji nguli wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, Rose Mhando amesema amekiri kwamba Mkurugenzi wa Msama Promotions ambaye ni mwandaaji...
MKUU WA MAJESHI JENERALI MKUNDA AWAVISHA NISHANI ASKARI NA MAAFISA JWTZ...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia...
MNDOLWA: SERIKALI YAWEKEZA TRILIONI 1.2 KATIKA SEKTA YA UMWAGILIAJI
NIRC Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa...