FEDHA ZILIZOKUSANYWA BUNGE MARATHONI ZINATUMIKA IPASAVYO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania fedha zilizokusanywa katika mbio za hisani za Bunge zitakwenda kutumika kama ilivyokusudiwa.
Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 12, 2025)...
BALOZI NCHIMBI ASAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI MKUU 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameshiriki katika utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais,...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 12-2025.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 12-2025.
...
WADAU ZAIDI YA 500 KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI 2025 MWEZI JULAI...
Kuelekea katika wiki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amewahimiza wananchi kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata dira bora kwa maendeleo...
TUME, SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA KUSAINI MAADILI YA UCHAGUZI
Na. Mwandishi Wetu Dodoma
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili...
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MMILIKI WA KLABU YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya...