MAGAZETI YA LEO J.TANO JUNI 9-2021

0
 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

BRELA YATOA ELIMU YA USAJILI NA UPATIKANAJI WA LESENI MTANDAONI SAME.

0
Afisa msajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw.Salehe Yahaya, akitoa elimu juu ya namna ya kusajili na umuhimu wa kusajili...

JAMII ISHIRIKISHWE KUTUNZA RASILIMALI ZA MAJI: MHANDISI SANGA.

0
Katibu Mkuu Wizara ya maji Mhandisi Antony Sanga Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa jukwaa la bonde la Pangani uliofanyika mkoani...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANAWAKE WA TANZANIA JIJINI DODOMA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimtunza Msanii wa Taarabu Sabah Salum Muchacho...

MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) KUTOA MAJIBU ATHARI ZA...

0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) vitambulisho vya wakaguzi vyenye...

SERIKALI YASISITIZA MIONGOZO YA YA KUJIKINGA NA COVID-19 IZINGATIWE

0
(Picha Na: Maktaba) MKURUGENZI wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi Na:Catherine Sungura,DODOMA.Serikali kupitia...