JATU YAKARIBISHA MABALOZI WAPYA.
NA:RICHARD MRUSHA.kampuni inayojihusiha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo Jatu imetambulisha mabalozi wao wanne ( 4 ) akizungumza wakati wa utambulisho wa...
DKT. MOLLEL AZINDUA MRADI WA UBORESHAJI HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO...
DODOMA.Dkt.Godwin Mollel,Naibu Waziri-Afya leo amezindua rasmi mradi wa uboreshaji wa huduma za Mama na Mtoto na damu salama Mkoani Dodoma, ikiwa lengo kuu ni...
MGONJWA ANAYEHITAJI DAMU AHUDUMIWE KWANZA HUKU TARATIBU ZINGINE ZIKIFUATWA
NA: WAMJW-Dodoma.Hospitali zote na vituo vya afya nchini zimeagizwa kutoa damu kwa Mgonjwa mwenye uhitaji huku wataalamu wa afya wakisisitizwa kuendelea kutoa elimu kuhusu...
CCM YAVUNJA UKIMYA KUHUSU KATIBA MPYA.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano wa wazee wa Wilaya Ya Tanga ...
MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU DUNIANI
Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wataalamu wa Afya na wadau mbalimbali katika Maadhimisho ya kilele cha siku...
RAIS MWINYI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...