Home LOCAL RAIS MWINYI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO IKULU ZANZIBAR

RAIS MWINYI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipofika Ikulu Jijinui Zanzibaer kwa mazungumzo yaliofanyika leo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Mhe. Suleiman Jafo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya Kiserikali Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)Previous articleUHAMIAJI WATAKIWA KULINDA MAPATO.
Next articleMAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU DUNIANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here