.Na: Mwandishi Wetu, ARUSHA Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu kwa jina la 'Babu wa Loliondo', ambaye alipata umaarufu wa kutoa tiba ya kikombe kilichokuwa kinadaiwa kutibu magonjwa mbalimbali amefariki dunia.Taarifa ambazo zimethibitishwa na mmoja wa waliokuwa wasaidizi wa mzee huyo, Paul...
Na: John Walter- BABATI.Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange,ametangaza vita dhidi ya waharifu na watu wanaojihusisha na wizi wa miundombinu ya umeme na miradi ya kimkakati inayotekelezwa yenye lengo la kuchochea kukua kwa uchumi katika maeneo mbalimbali wilayani...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua ukarabati wa Mashine za kuchakata mkonge ambapo awali zilikua chakavu hali iliyokua ikisababisha kushuka kwa uzalishaji wa zao la Mkonge.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini kutoka...
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akiwa na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango,wanafunzi pamoja na viongozi wa wilaya ya Same wakikata utepe kuwasha umeme katika Kijiji cha Kifaru wakati wa ziara ya uzinduzi wa Mradi wa umeme...
Na Amiri Kilagalila, NjombeKUTOKANA na miradi mikubwa ya kuzalisha umeme hapa nchini kwa kutumia maporomoko ya maji ukiwemo mradi wa umeme wa Julius Nyerere unaoendelea kujengwa,kutajwa kutegemea vyanzo vya maji kwa wingi kutoa wilaya za mkoa wa Njombe hususani wilaya...
 Na.WAMJW-Dodoma.Wafamasia nchini wametakiwa kufanya ajenda ya upatikanaji wa dawa iwe ya kudumu Kwenye kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa.Rai hiyo imetolewa leo na Dkt.Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...