LATEST ARTICLES

 Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha...
 Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha...
Meli kubwa ya mizigo ya MSC ADU -V yenye urefu wa mita 294.1 na uwezo wa kubeba makontena 4000 ikiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam jana. Mkuu wa Kitengo cha Uratibu kutoka Kampuni ya DP WORLD, Bw. Emmanuel Kakuyu...
Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa...
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto....
  -  asema motisha ni nguzo ya huduma bora kwa wananchi Na. Mwandishi wetu, NAMTUMBO. Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameendelea kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kusukuma na Kuhifadhi Maji katika mkoa wa Mwanza, mradi unaolenga kuboresha usambazaji wa maji safi na salama kwa wananchi. “Miradi hii ni kwa ajili...
Na OWM - TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, leo amepokea mpango mkakati wa ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameshiriki katika kikao cha wadau wa Mahakama kilichofanyika tarehe 22 Januari, 2026 Jijini Dodoma. Kikao hicho kilichoongozwa na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. George Masaju kililenga katika kujadiliana juu ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza, chenye thamani ya takribani shilingi bilioni 19.8, kuhakikisha kituo hicho kinaendeshwa kwa saa 24 na kwa ufanisi wa hali...
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki yaAbsaTanzania, Bw. Aron Luhanga (kushoto), akifanya droo ya mwisho ya kampeni ya benki ya miezi mitatu ya 'Ujanja ni Kuswipe na Kadi ya Absa', jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa benki...