Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Hali ya Ujangili nchini na hatua za kukabiliana nao, kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Utawala Annex, jijini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Francis Michael.
Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Francis Michael akijitambulisha kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Hali ya Ujangili nchini na hatua za kukabiliana nao, kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Utawala Annex, jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Asia Halamga (Mb) akichangia mada kuhusu namna ya kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali na waharibifu katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Hali ya Ujangili nchini na hatua za kukabiliana nao, kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Utawala Annex, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Msaidizi anayehusika na masuala ya kupambana na Ujangili, Robert Mande akiwasilisha taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Hali ya Ujangili nchini na hatua za kukabiliana nao, kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Utawala Annex, jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Ally Juma Makoa (Mb) akimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)(hayupo pichani) kwa ajili ya wasilisho la taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Hali ya Ujangili nchini na hatua za kukabiliana nao, kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Utawala Annex, jijini Dodoma leo.