Home BUSINESS BRELA YAHITIMISHA MAFUNZO YAKE YA SIKU TANO KWA MAAFISA BIASHARA DODOMA.

BRELA YAHITIMISHA MAFUNZO YAKE YA SIKU TANO KWA MAAFISA BIASHARA DODOMA.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Wilson Malosha akifafanua jambo wakati wa majadiliano katika mafunzo kwa Maafisa Biashara wa mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida yaliyofanyika katika ukumbi wa JK Convetion Centre Jijini Dodoma

Maafisa Biashara wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida wakifuatilia hotuba ya kufungwa kwa mafunzo ya siku tano (5) yaliyoendeshwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) juu ya sheria za leseni ya biashara yaliyofanyika Jijini Dodoma ambayo yamefungwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Dotto James Jijini Dodoma leo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here