TUTASIMAMA NA WAKUNGA KUHAKIKISHA UZAZI UNAKUWA BARAKA, FURAHA TANZANIA – DK...
Na:Catherine Sungura.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze...
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,...
RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge...
WIZARA YA AFYA YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE KUHUSU MAGONJWA YA KIFUA...
NA: WAMJW-DODOMA.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetoa mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Tanzania kuhusiana na magonjwa ya...
VIONGOZI WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUPAMBANA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE
Mkuu wa Mkoa wa kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongea na Viongozi wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri wakati wa kikao kazi cha uraghibishaji na...
HABARI PICHA:RAIS SAMIA ALIPOONDOKA JIJINI DODOMA NA KUWASILI NCHINI KENYA, LEO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege ya Tanzania baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo,...