WATOTO KULINDWA DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA
Na. Asteria Frank, DODOMA
Afisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Rachel Balisidya amewataka wazazi kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya...
DKT. BITEKO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA – MAGOMENI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki hafla ya uwekaji Wakfu Jengo la Kanisa la Waadventista wa Sabato...
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE – DKT. BITEKO
* Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni*
*Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
* Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo
Na Ofisi...
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA – KUFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda pamoja...
WATANZANIA WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi, ametoa wito kwa Watanzania kujenga...
DKT. MOLLEL APONGEZA JITIHADA ZA SEKTA BINAFSI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amepongeza juhudi na mchango wa Taasisi ya Mo Dewji Foundation katika kusaidia mikakati ya Rais wa Jamhuri...