SOSTENETH MAKERO
UTHAMINI WA FIDIA MRADI WA SGR KIPANDE CHA SITA TABORA-KIGOMA WAENDELEA...
Wananchi ambao maneo yao yanapitiwa na mradi wa Reli ya Kisasa SGR wakifuatilia utolewaji wa elimu ya uthamini wa fidia wakati wa zoezi la...
BENKI YA ABSA TANZANIA NA ASA MICROFINANCE YAADHIMISHA MIAKA MINNE YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati akitangaza mafanikio ya ushirikiano wa kibiashara...
UBAGUZI, UNYANYASAJI ULIOKITHIRI CHADEMA WAMKIMBIZA KIGOGO KWENDA CCM
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kusini na Mjumbe wa Kamati Kuu wa chama hicho, Ndugu. Aden Mayala amekihama...
MAMBO NI BAM BAM KAMPENI ZA DKT. SAMIA KINYEREZI – ILALA
Shamra Shamra, nderemo vikiwa vimetawala katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI UWANJA WA KESHA KINYEREZI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja...
KATIBU MKUU WA CCM AWASILI UWANJA WA KECHA KINYEREZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Asha Rose Migiro akiwasili kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...







