NEEMA ADRIAN
WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE TUTUBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo November 03, 2024 amehani msiba wa Mzee John Tutuba ambaye ni baba mzazi wa Gavana wa Benki Kuu ya...
WASANII WA FILAMU WAPONGEZWA KWA KUBEBA MAONO YA RAIS SAMIA SULUHU...
Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam
Umoja wa Waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam wapongezwa kwa kubeba maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
TESA WA HUBA KUZIKWA JUMATATU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Nchini Grace Mapunda maarufu kama 'TESA WA HUBA' unarajiwa KUZIKWA siku ya jumatatu Novemba 4 2024 Katika makabiri...
MBINU MPYA YA KUWADHIBITI TEMBO YAONESHA MWELEKEO WA MAFANIKIO SAME
Wananchi wafanikiwa kuvuna mazao yao, waishukuru Serikali
Na Beatus Maganja, Kilimanjaro
Hatimaye mbinu mpya ya kudhibiti changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu hususani tembo iliyobuniwa na...
NMB YATENGA BILIONI 1 KUFADHILI MATIBABU YA WATOTO WENYE MARADHI YA...
Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo imetenga Shilingi Bilioni Moja kwa miaka minne, ikichangia...
DKT. JINGU AGUSWA NA MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIMA YA AFYA...
Na Waf - Arusha,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema ameguswa na michango inayotolewa na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya...