NEEMA ADRIAN
WAZIRI MKUU AKUTANA BALOZI WA BELARUS NCHINI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni...
BRELA KUKUTANA NA WADAU WAKE WA SEKTA ZA UMMA NA SEKTA...
WAKALA wa Usajili wa Biashaa na Leseni (BRELA), Oktoba 25 mwaka huu, wanatarajia kukutana na wadau wake kutoka sekta ya umma na sekta binafsi...
TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO KUITANGAZA NCHI KIMATAIFA
Wafanyabiashara na wajasiriamali wa sanaa za ufundi wanatarajiwa kunufaika na Tamasha la 43 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni ambalo linatarajiwa kufanyika kwa siku...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA UTENDAJI KAZI WIZARA YA NISHATI
Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi
Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na...
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika...
FCS NA LATRA CCC WASAINI MAKUBALIANO MRADI WA KULINDA NA KUTETEA...
Na Neema Mathayo, Dar-es-Salaam
Asasi ya Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) leo...