NEEMA ADRIAN
COLOMBIA AFRIKA,YAINGIA TANZANIA KWA KUINUA IST CLINIC
Dar es Salaam, Tanzania – Septemba 7, 2025. Columbia Africa Healthcare Limited imetangaza ununuzi wa IST Clinic, kituo maarufu cha huduma za afya kilichopo Dar...
RIPOTI MPYA YA ELIMU YAANGAZIA UHITAJI WA KUTUMIA UTAFITI KWA SERA...
Kwame Akyeampong, Profesa wa Elimu ya Kimataifa na Maendeleo katika Chuo Kikuu Huria, Uingereza
Ijumaa, 5 Septemba 2025 – Embu, Kenya. Ripoti mpya ya elimu imetoa...
BRELA YAFANYA KAZI NZURI YA URASIMISHAJI BIASHARA MWANZA
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imepongezwa kwa kufanya kazi nzuri ya kuwahudumia wakazi wa Mwanza na kuwahamasisha kurasimisha biashara zao.
Hayo yamebainishwa...
SAKATA LA MUUGUZI KIBONDO MGANGA MKUU WA SERIKALI ATOA TAMKO
Na WAF - Dodoma
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari...
CHROME ILIVYOWASHA MOTO UZINDUZI TANZANIA,CHAPA MPYA INAYOSHEREHEKEA VIJANA WAPAMBANAJI NCHINI
Dar es Salaam. Vijana wa Kitanzania na hustlers kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe – Dar es Salaam (August 30, 2025) kushuhudia uzinduzi wa...
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA GHANA NCHINI TANZANIA
ASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO ZAIDI WA KIUCHUMI BAINA YA MATAIFA HAYO MAWILIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango...







