NEEMA ADRIAN
40 WAUWAWA SHAMBULIZI LA ISRAEL BEIRUT
Watu takriban 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel mashariki mwa Lebanon siku ya Jumatano, kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.
Afisa...
MSIMU WA SHINDANO LA HELLO MR. RIGHT LAZINDULIWA
Shindano la Hello Mr Right! msimu wa sita limezinduliwa rasmi vijana wakihimizwa kutumia nafasi ya kufuatilia kujifunza namna ya kupata wenza sahihi wa maisha...
DC NASSARI AFUNGUA KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA WILAYANI MAGU
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mh. Joshua Nassari amesema Serikali inatambua mchango wa wafanyabiashara wilayani humo katika kukuza uchumi wa wilaya na nchi kwa...
WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE TUTUBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo November 03, 2024 amehani msiba wa Mzee John Tutuba ambaye ni baba mzazi wa Gavana wa Benki Kuu ya...
WASANII WA FILAMU WAPONGEZWA KWA KUBEBA MAONO YA RAIS SAMIA SULUHU...
Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam
Umoja wa Waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam wapongezwa kwa kubeba maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
TESA WA HUBA KUZIKWA JUMATATU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Nchini Grace Mapunda maarufu kama 'TESA WA HUBA' unarajiwa KUZIKWA siku ya jumatatu Novemba 4 2024 Katika makabiri...