NEEMA ADRIAN
WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA AAGIZA SOKO LA MAJENGO LIKAMILIKE KWA WAKATI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kukamilika haraka kwa ukarabati wa soko la Majengo Jijini Dodoma ili kuwawezesha wafanyabiashara wa jiji hilo kunufaika na...
DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI
_Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele_
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni...
SHEIN, KARUME WASISITIZA ELIMU YA MUUNGANO KWA VIJANA
Mwandishi Wetu
Zanzibar
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi awamu ya sita Dk. Amani Abeid Karume pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar...
RAIS DKT. SAMIA ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WA JESHI LA ULINZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi kuwa Maafisa wa Jeshi...
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe....
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUZUIA HATI YAKE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria...







