NEEMA ADRIAN
NAIBU KATIBU MKUU DKT. SERERA APOKELEWA WIZARANI
Katibu Mkuu wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa akimpokea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Suleiman Serera alipowasili ofisi za wizara...
MSIGWA NA SERERA WAFANYA ZIARA CHUI CHA MAENDELEO YA MICHEZO, MARYA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Suleiman Serera leo Aprili 8, 2024 wamefanya ziara...
PROF, KABUDI AFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KILOSA, ASISITIZA AMANI.
Na: Yusuph Kayanda
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Prof, Palamagamba Kabudi amewataka waumini wa dini Kiislam na dini zengine katika madhehebu tofauti Wilayani Kilosa kulinda...
MSAMA ATEKELEZA AGIZO YA WAZIRI
MKurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ametekeleza agizo la Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa la kwenda kuonana na Kamishina wa Ardhi Kanda...
DK.MWINYI AZINDUA FURSA ZA UCHIMBAJI MAFUTA NA GESI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta...