NEEMA ADRIAN
WAZIRI MHAGAMA: MUHIMBILI, JKCI, MOI NA AGA KHAN ZIMEJIPANGA KUHUDUMIA WAGENI...
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, leo amefanya ziara hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Taasisi ya...
TANZANIA IKO TAYARI KWA “ENERGY SUMMIT” KIUTALII ZAIDI -DKT.ABBASI
Na Mwandishi Wetu, Dar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amesema ikiwa ni sehemu ya manufaa ya nchi kutokana na...
DARAJA LA JP MAGUFULI KIGONGO-BUSISI LAFIKIA ASILIMIA 96.3, KUKAMILIKA FEBRUARI 2025
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka...
USAFISHAJI WA VIFURUSHI, MIZIGO NA ABIRIA KIDIJITALI UTAIMARISHA UCHUMI WAZIRI SILAA
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali...
WAZIRI WA AFYA APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA WENYE THAMANI YA...
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama leo amepokea msaada wa vifaa tiba mbalimbali vyenye thamani ya TZS. 125 Mil kutoka kwa Serikali ya Watu...
KISARAWE KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUKATA KEKI
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amesema maandalizi ya kusherehekea siku ya mfanano wa tarehe ya kuzaliwa rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ifikapo tarehe...