NEEMA ADRIAN
NAIBU WAZIRI MKUU APONGEZA TUME YA MADINI KWA UKUSANYAJI WA MADUHULI
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amepongeza Tume ya Madini kwa kuendelea kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli na kusisitiza...
WAZIRI MKUU AZINDUA BWALO NA BWENI SHULE YA SEKONDARI KIBASILA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na viwango vya ujenzi wa bweni na bwalo kwenye shule ya Sekondari ya Kibasila iliyopo Wilaya ya Temeke...
TAWA YAMDHIBITI MAMBA ALIYEZUA TAHARUKI BUCHOSA
Kijiji cha Kahunda charindima Kwa nderemo na vifijo
Na. Beatus Maganja
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini - TAWA kwa kushirikiana na wananchi wa...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI WA MIFUMO YA KIELOTRONIKI KATIKA MAKUSANYO
Ataka fedha za ndani zitumike katika kutekeleza miradi ndani ya halmashauri.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka maafisa masuhuli kwenye Halmashauri zote nchini waweke msisitizo wa...
MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KATIKA KUHITIMISHA KONGAMANO LA NNE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda wakati...
AREJESHEWA TABASAMU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI REKEBISHI NA KUONDOLEWA UVIMBE KILO...
Mkazi wa Lindi, Bw. Karume Karume (41) aliyesumbuliwa na uvimbe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa zaidi ya miaka 25, leo ameruhusiwa kwenda nyumbani...