NEEMA ADRIAN
TAMASHA LA KUOMBEA UCHAGUZI KUFANYIKA MIKOA YOTE TANZANIA
TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu linatarajia kufanyika mikoa 26 kuanzia jijini Dar es Salaam mwaka huu, ambapo waimbaji mbalimbali wanatarajiwa kuwepo kwenye tamasha hilo.
Akizungumza...
TAMASHA LA PASAKA NA KUOMBEA UCHAGUZI KUFANYIKA APRILI
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya...
MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA IBADA YA KUMWEKA WAKFU REV. CANON...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 09, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumweka wakfu na kumweka kitini Rev. Canon...
RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR VIONGOZI WA DINI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA PETROLI KWA NCHI ZA AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito wa kuimarishwa ushirikiano zaidi kwa Mataifa ya Afrika Mashariki...
MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga litakalokuwa na uwezo wa...