HUGHES DUGILO
MSAMA: TUWAPUUZE WANAOLIPWA KUVURUGA AMANI YETU
Mfanyabiashara malufu nchi Tanzania Ndugu Alex Msama amewataka Watanzania kuwapuuza watu ambao wanalipwa ili kuvuruga amani ya nchi yetu ya Tanzania na mara nyingi...
MSAMA: WAZAZI, VIONGOZI WA DINI WASHAURINI VIJANA DHIDI YA VURUGU
MKURUGENZI wa Msama Promotion, Alex Msama, ameetoa wito kwa wazazi nchini kukaa karibu na watoto wao na kuwashauri kuepuka ushawishi wa kujiingiza kwenye vitendo...
DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
▪️Asisitiza kuwa Tanzania na Rasilimali zake zitalindwa kwa gharama yoyote ile.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba anazungumza na Wahariri wa vyombo vya habari nchini kwenye...
MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe. Robert...
SERIKALI YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI VYA NJE KUACHA UPOTOSHAJI
Serikali imevitaka vyombo habari vya kimataifa vinavyoripoti kuhusu matukio ya hivi karibuni nchini, ikivituhumu kuchapisha taarifa za upande mmoja na zinazoweza kuchochea chuki miongoni...







