HUGHES DUGILO
MAJINA WAGOMBEA UBUNGE CCM HADHARANI AGOSTI 23
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kuhusu ratiba ya vikao vya kitaifa vya Chama, vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni...
AFRIKA YA KATI 0-0 TAIFA STARS
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imetoshana nguvu na Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa 0-0 katika mchezo wake wa mwisho wa kundi...
TANZANIA, BURUNDI ZAZINDUA UJENZI WA RELI YA SGR UVINZA-MUSONGATI
*_Kugharimu dola za Marekani bilioni 2.154_
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumamosi, Agosti 16, 2025) ameshiriki uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli...
MFUKO WA SELF WATOA MIKOPO YA SH. BILIONI 196.9 KWA WATANZANIA
Na: Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
Serikali kupitia Mfuko wa SELF, imetoa Jumla ya Shilingi Bilioni 196.9 zilizowanufaisha zaidi ya watanzania 183,000 katika kipindi cha...
MPINA ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa...
WIZARA YA NISHATI, OREXY GAS WAHAMASISHA MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu
WIZARA ya Nishati kwa kushirikiana na wadau mbalimbali nchini imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kwa kuhakikisha wanajielekeza katika matumizi ya nishati safi...







