HUGHES DUGILO
RAIS SAMIA: TUDUMISHE AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza umuhimu wa kuhakikisha Taifa linaendelea kudumu katika misingi imara iliyowekwa na...
MSAMA: TUWAUNGE MKONO WALIOTEULIWA KUGOMBEA
"Ulishakuwa Kiongozi, sasa ameteuliwa mwingine unanuna nini, kuwa na shukrani, muunge mkono"
Dar es Salaam
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama...
NHC YATUNUKIWA TUZO MASHIRIKA YA UMMA YENYE UFANISI
Arusha.
Arusha. Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi...
MASHIRIKA YA UMMA YATAMBULIWA KWA UFANISI
Arusha.
Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi iliyofanyika...
BODI YA BIMA YA AMANA YAPATA MKURUGENZI MKUU
Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imemteua Bw. Isack Nikodem Kihwili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana...
SELF MICROFINANCE WATEMBELEA WAJASIRIAMALI WANUFAIKA WA MIKOPO YAO ARUSHA
Na Mwandishi Maalum
Wajumbe wa Bodi ya SELF Microfinance wamewatembelea wajasiriamali wawili Mkoani Arusha ambao ni kati ya wanufaika wa mikopo nafuu inayotolewa na mfuko...







