HUGHES DUGILO
MGOMBEA NWENZA DKT. NCHIMBI AANZA KAMPENI MWANZA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi DktEmmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani...
DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi Wetu,Mwanza
Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi amewasili Mkoa wa Mwanza Leo Agosti...
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WATUNZA KUMBUKUMBU NCHINI
_▪️Awataka wazingatie maadili, wadumishe uadilifu na kulinda usiri wa taarifa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya...
MSAMA AKANUSHA KUHAMIA CHAUMA, ATAKA TAARIFA HIZO ZIPUUZWE NI UZUSHI
"Ndugu Watanzania, Kumekuwa na taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye baadhi ya majukwaa ya kijamii zikidai kwamba mimi, Alex Msama, nimejiunga na chama cha Chauma...
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NA BALOZI NCHIMBI WAREJESHA FOMU TUME HURU...
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha...







