HUGHES DUGILO
HIVI NDIO DKT NCHIMBI ALIVYOWASILJ MKOANI SIMIYU KUSAKA KURA ZA KISHINDO
MGOMBEA Mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa wilaya ya Busega,wakati...
MZEE JOSEPH BUTIKU ALIVYOIBUKIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI WA DK.EMMANUEL NCHIMBI...
MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amekutana na kusaliamiana na Mkurugenzi Mtendaji wa...
RAFIKI BRIQUETTES YA STAMICO YAMKOSHA WAZIRI MKUU
▪Aipongeza STAMICO kwa kusambaza Nishati safi ya kupikia nchi nzima, kwa kasi.
▪Azitaka Taasisi nyingine kuiga mfano wa Magereza
▪Ashuhudia vibe la mawakala wa...
WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA...
*Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini
*Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati...
NCHIMBI AMALIZA ZIARA MWANZA ATUA KWA KISHINDO MARA
Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia wananchi wa Kisesa na Nyanguge...
NAWANDA ASHIKWA PABAYA NEWALA
Na Mwandishi Wetu
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Newala Vijijini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mneke Jafari, amshika pabaya mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Nawanda...







