HUGHES DUGILO
ZITO KABWE APIGA KAMPENI YA MGUU KWA MGUU KUONGEA NA WANANCHI...
Mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembelea vijiwe mbalimbali vya bodaboda katika jimbo hilo, mkoani Kigoma Septemba...
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA KUPITIA CHAUMMA AJIUNGA NA CCM
Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kupitia Chama Cha CHAUMMA Bw. Yusuph Issa Tamba ametangaza kujiunga na...
DKT. SAMIA KUTIMUA VUMBI KAMPENI ZA CCM LINDI MJINI, MCHINGA LEO
Maelfu ya wananchi na Wapigakura wa Lindi Mjini Mkoani Lindi leo Alhamisi Septemba 25, 2025 watapata fursa ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi...
DKT. SAMIA AZURU KABURI LA MZEE MKAPA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Septemba 24, 2025 ameweka shada...
WANANCHI ZAIDI YA 4,650 KUNUFAIKA NA MIRADI YA UMWAGILIAJI MIKOA YA...
Na MWANDISHI WETU
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeendelea na utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji ambapo watu...
DKT.SAMIA AAHIDI HUDUMA BORA ZA KIJAMII NANYUMBU
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza dhamira ya Serikali...







