HUGHES DUGILO
WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUNZENI AKIBA YA CHAKULA
*_Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi_*
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke...
UZALISHAJI WA MAJI UMEPUNGUA KUTOKA LITA MILIONI 270 HADI MILIONI 50...
Ofisa Mtendaji Mkuu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa kwasasa uzalishaji wa maji umepungua...
JENISTA MHAGAMA AFARIKI DUNIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho, Mhe.Jenista Joakim Mhagama,...
WCF YAPONGEZWA KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Na; OWM (KAM) - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa...
HADI KUFIKIA MCHANA HUU HALI NI SHAWARI
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime amesema kuwa mpaka mchana wa leo Disemba 9 hali ya usalama ni shwari katika maeneo...
KUTOKA UHURU HADI SASA NHC MSINGI WA MAGEUZI YA MAKAZI BORA
-Miradi ya kimkakati ya Awamu ya Sita yadhibitisha nafasi ya NHC kama injini ya maendeleo
Mwandishi Wetu
Tanganyika au Tanzania Bara ilipata Uhuru wake Desemba 9,...







