HUGHES DUGILO
FCC, ZFCC WAISAINI MAKUBALIANO KULINDA HAKI ZA MLAJI
Dar es Salaam
Tume ya ushindani Tanzania Bara -FCC imeingia mashirikiano na Tume ya ushindani halali wa biashara Zanzibar -ZFCC yatakayojielekeza katika maeneo mbalimbali ikiwemo...
DKT. SAMIA TUTAIFANYA TANGA KUWA BOHARI YA MAFUTA NA GESI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Septemba 29, 2025 amesema ikiwa...
MAELFU YA WANANCHI WA TANGA MJINI WAFURIKA KUMLAKI DKT. SAMIA VIWANJA...
Maelfu ya wananchi wa Tanga Mjini Mkoani Tanga leo Jumatatu Septemba 29, 2025 wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Usagara Sekondari kwaajili ya kumlaki...
DKT. ABBASI AKABIDHI VIFAA VYA KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Na Mwandishi Wetu- Goha, Korogwe
Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amekabidhi mabomu baridi mia nne (400), pikipiki mbili na ndegenyuki...
WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA BOMBA LA MAFUTA
Na Mwandishi wetu, Kiteto
MKUU wa Wilaya ya Kiteto, Remidius Emmanuel amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Mradi wa Bomba...
KISHINDO CHA BALOZI DK.NCHIMBI AKIWANADI WAGOMBEA UBUNGE CCM DAR
Na Mwandishi Wetu
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Joh Nchimbi leo...







