HUGHES DUGILO
RAIS SAMIA AONGEZA SAA 24 ZA UOKOAJI KARIAKOO
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji...
WAZIRI JERRY SILAA AANIKA MIKAKATI YAKE KUBORESHA SEKTA YA HABARI
Na: Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya...
MCHUMBA WANGU ALITUPIWA JINI NA NDUGU ZAKE ILI NISIMUOE
Jina langu ni Ally kutokea Dodoma, Tanzania, nina mchumba wangu ambaye tupo kwenye mahusiano kwa mwaka wa nane huu, sasa tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Changamoto...
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa...
LEMA AMTUHUMU KIGAILA KUSABABISHA VURUGU ZA CHADEMA ARUSHA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amedai vurugu zilizojitokeza juzi wakati wa uchaguzi wa kutafuta viongozi wa...
WAZIRI JAFO ASHIRIKI MKUTANO WA 45 WA SCTIFI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt. Selemani Jafo (Mb), akishiriki Mkutano Maalum wa 45 wa Kisekta wa Viwanda, Biashara, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) Ngazi...