HUGHES DUGILO
ACT WAZALENDO YAAHIDI KUKOMESHA MIGOGORO YA ARDHI
Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kukomesha changamoto ya migogoro ya ardhi endapo wananchi watakipa ridhaa ya kuongoza kwa kuchagua wabunge na madiwani wa chama...
DKT. NCHIMBI: HAKUNA WA KUWAZUIA DKT.SAMIA, MWINYI KUBAKIA IKULU
Na: Mwandishi wa Michuzi TV-Unguja
MGOMBEA Mwenza wa urais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais...
TEA, UNICEF NA SERIKALI YA CANADA WAENDELEZA MAGEUZI YA MIUNDOMBINU YA...
Bi. Atugonza David akiwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Pangale Mwl. Sengi Msaru wakati wa kukagua mradi wa ukarabati wa maabara tatu za...
TANZANIA YAONGOZA KWA UKARIMU ENDELEVU- DKT.PINDI CHANA
Na: Hughes Dugilo, Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana, amesema kuwa sekta ya utalii imeendelea kuimarika kutokana na kuongezeka kwa...
DKT. SAMIA ATOA ELIMU NAMNA YA KUPIGA KURA OKTOBA 29,2025
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha mfano...
MNAOMSHAMBULIA DKT.SAMIA NJOONI TUPAMBANE- MAKONDA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Paul Christian Makonda amesisitiza umuhimu wa Vijana na Watanzania kwa ujumla...







