HUGHES DUGILO
DKT.SAMIA KUTIKISA KWENYE KAMPENI MKOANI KAGERA
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano...
OTHMAN MASOUD AAHIDI KUPITIA UPYA MFUMO WA MAFAO YA WASTAAFU
Mgombea Urais wa Chama cha ACT Wazalendo ameahidi kuwa Serikali yake, endapo itapata ridhaa ya wananchi, itapitia upya mfumo mzima wa mafao ya wastaafu...
ZITTO: CCM HAIWEZI KUONDOKA MADARAKANI BILA UCHAGUZI
Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Chama cha ACT Wazalendo kimesema njia pekee itakayoweza...
NCHIMBI AENDELEA KUCHANJA MBUGA AKISAKA KURA ZA CCM SINGIDA VIJIJINI.
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameendelea kuchanja mbuga kwa ajili...
MIAKA 26 KIFO CHA MWL. NYERERE, NHC YAFANIKISHA NDOTO MAKAZI BORA...
- NHC chini ya Rais Dk. Samia imefufua falsafa ya utu ya Mwalimu Nyerere
Kila inapowadia tarehe 14 Oktoba, Watanzania hukusanyika kwa heshima na kumbukizi...
AGGY BABY MSHINDI TUZO MUIGIZAJI BORA WA KIKE TANZANIA 2025
Msanii wa Muziki na Maigizo Bi Agness Suleiman Kahamba maarufu kama (Aggybaby) amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 kutoka...







