HUGHES DUGILO
DKT.SAMIA KUENDELEA NA KAMPENI ZAKE BUKOBA MJINI
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi...
ZITTO KABWE AMNADI DIWANI MSAMBYA KWA WANANCHI
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika kata ya Kipampa...
ACT WAZALENDO KUTOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE NAMNA YA KUPIGA...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitafanya kikao cha dharura leo usiku, kujadili ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Rais...
DKT. SAMIA AWAHAKIKISHIA MAENDELEO WANANCHI WA KARAGWE
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi...
WANANCHI MKALAMA WASHANGILIA MIRADI VISIMA VYA UMWAGILIAJI
NA MWANDISHI WETU
Wakazi wa Kijiji cha Miganga wilayani Mkalama, mkoani Singida, wameishukuru Serikali kwa neema ya miradi ya uchimbaji wa visima vya Umwagiliaji na...
SERIKALI YA ACT KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA
Serikali ya ACT Wazalendo imeahidi kushughulikia kwa kina masuala ya udhalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto mara itakapoingia madarakani.
Kauli hiyo...







