HUGHES DUGILO
KHAMIS MGEJA AWATAKIA KHERI WANA CCM KATIKA MKUTANO MKUU
Na Mwandishi Wetu,
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kushika mikoba...
SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA IMF
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw....
RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo...
NIDA YAJA NA MBINU MPYA KUHAKIKISHA VITAMBULISHO VANACHUKULIWA
Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) akihakiki fomu ya mwananchi ya maombi ya utambulisho wa Taifa kabla ya kuendele na hatua nyingine.
Mwananchi akichukuliwa...
UZINDUZI BARAZA LA WAFANYAKAZI MALINYI LAWAFURAHISHA WATUMISHI WILAYANI HUMO
Na Mwandishi Wetu
UZINDUZI wa Baraza la Wafanyakazi la Wilaya ya Malinyi, Morogoro umewafurahisha watumishi wa serikali wilayani humo kwamba, wamepata sehemu ya kueleza...