HUGHES DUGILO
VIJANA PUNGUZENI MUNKARI TANZANIA NI PEPONI
"Nataka kuwahakikishia Vijana wa Kitanzania msidanganywe, ukichukua Afrika Mashariki pengine na kusini na Kati mwa Afrika, Tanzania ni pepo. Hapa upo kwenye nchi yenye...
TUMEKUZA FURAHA, UHURU KWA WATANZANIA- DKT. SAMIA
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika...
AWESO AFANYA TATHMINI HALI YA MAJI ZAMANI NA MAFANIKIO YA SASA...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga na Waziri wa Maji wa serikali ya awamu ya sita Mhe. Jumaa Aweso amesema katika kipindi...
SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI KAMPENI ZA DKT SAMIA TEMEKE
Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Tanesco Yombo Vituka Wilayani Temeke Mkoani Dar...
BALOZI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Balozi wa Kenya nchini, Mhe. Isaac Njenga,...
MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAFIKIENI WANANCHI VIJIJINI: DKT. JINGU
Na Mwandishi Wetu WMJJWM- Iringa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amewataka Maofisa Maendeleo ya...







