HUGHES DUGILO
DKT. MOLLEL APONGEZA JITIHADA ZA SEKTA BINAFSI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amepongeza juhudi na mchango wa Taasisi ya Mo Dewji Foundation katika kusaidia mikakati ya Rais wa Jamhuri...
STAMICO KUANZA USAMBAZAJI WA NISHATI SAFI YA RAFIKI BRIQUETTES ZANZIBAR
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini makubaiano ya mashirikiano na Usirika cha Maisha Gemu kutoka visiwani Zanzibar, ili kuwa wakala wa nishati...
WATENDAJI KATA NA VIJIJI SONGEA WAONYWA KUACHA UPENDELEO MCHAKATO WA KUWAPATA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Elizabeth Gumbo akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji...
WIZARA YA AFYA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI WA MAENDELEO
Dkt. Ntuli Kapologwe Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya
Wizara ya Afya kuendelea ushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwezesha maendeleo katika sekta...
WANANCHI PERAMIHO WAKOSHWA NA MPANGO JUMUISHI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI...
Na. Elimu ya Afya kwa Umma .
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali katika Jimbo la Peramiho wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt....
UCHAGUZI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WAANZA MKOANI RUVUMA,...
Baadhi ya watia nia nafasi ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii katika Kijiji cha Litapwasi wakiwa katika zoezi la kuchaguliwa kwenye mkutano wa...