HUGHES DUGILO
PAPA AWAONYA MAKASISI KUACHA KUFANYA SIASA
Wito umetolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki kuacha kujihusisha na siasa.
Wito huo umetolewa na Papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko Corcica,...
SIMBA WALIPE UHARIBIFU ULIOTOKEA UWANJA WA MKAPA
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesikitishwa na vitendo vya mashabiki kung'oa na kuharibu viti vya kukalia watazamaji katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,...
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE – DKT. BITEKO
* Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni*
*Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
* Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo
Na Ofisi...
UMMY MWALIMU ANAVYOPAMBANIA KILIMO CHA MWANI KIBADILISHE MAISHA YA WANANCHI WA...
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
Tanzania imejaliwa kuwa na raslimali nyingi kama vile ardhi, bahari, vivutio vya utalii, madini, misitu kutaja kwa uchache. Raslimali...
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA – KUFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda pamoja...
WATANZANIA WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi, ametoa wito kwa Watanzania kujenga...