HUGHES DUGILO
DKT SLAA AIPASUA CHADEMA, HAWAKUJIANDA WANAJIFICHA KWENYE MALALAMIKO.
Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za...
MSAADA WA TAASISI YA NVeP NA BARRICK WAENDELEA KUNUFAISHA TAASISI ZA...
Kaimu Meneja Mkuu Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Damian BriceĀ Houseman,(kulia) akimkabidhi Mkuu wa shule ya Sekondari Bulangwa Sane Machembe mfano wa hundi ya dola...
KAMPUNI YA CHINA KUWEKEZA SH. TRILIONI 3 MRADI WA PPP KUMALIZA...
Oktoba 21, 2024
Na Mwandishi Wetu
Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani...
MIFUMO YA TAASISI 7 IMEANZA KUSOMANA
Katika mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya...
MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA MKOMBOZI KWA MKULIMA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb) akiwa na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja...
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YAMEKUWA TISHIO NCHINI
Na: WAF - Bugando, Mwanza
Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, kisukari na shinikizo la juu la...