HUGHES DUGILO
MC PILIPILI AFARIKI DUNIA
TANZIA:
Msanii ambaye pia ni mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, anayejulikana kama MC Pilipili, amefariki Dunia leo mchana Novemba 16, 2025.
Taarifa zinaeleza...
RAIS SAMIA AWEKA MKAKATI MAPINDUZI YA KILIMO, KUPITIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Dodoma,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amefungua rasmi Bunge la 13 jijini Dodoma, akitoa dira mpya ya...
TUTAENDELEA KUKUZA SEKTA YA UTALII TUKILENGA WATALII MILIONI 8 IFIKAPO 2030...
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kukuza Sekta ya Utalii ikilenga kufikia...
SERIKALI YALENGA KUONGEZA MAPATO YASIYO YA KODI KUTOKA KWA MASHIRIKA YA...
Na: mwandishi wa OMH
Dodoma. Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itafanya mageuzi ya mashirika ya umma ili kuboresha ufanisi, uwazi...
ICGLR YAJIPANGA KUIMARISHA AMANI KATIKA KANDA
Imeelezwa kuwa Jumuiya ya nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ni jukwaa sahihi la kupata ufumbuzi wa Kudumu wa changamoto zinazozikabili nchi...
MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba...







