ENNA SIMION
RAIS SAMIA AWASILI HARARE NCHINI ZIMBABWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 15,2024 amewasili Harare Nchini Zimbabwe ambako atashiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu...
MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA UJUMBE JUKWAA LA UCHUMI DUNIANI ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF)...
WIZARA YATOA NENO ASALI YA TANZANIA SASA KURUHUSIWA KUUZWA CHINA
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesaini makubaliano ya kuruhusiwa kuuza asali yake nchini China huku ikisisitiza pia uwepo wa mikakati...
DKT JAFO: KILA MKOA KUANZISHA VIWANDA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb.) ameiagiza Mikoa yote Tanzania Bara kuanzisha viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya...
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM AKIZUNGUMZA NA WANANCHI JIMBO...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Jimbo la Buchosa, Halmashauri ya Buchosa, Nyehunge, leo...
TMX TUMEANZA MAANDALIZI MSIMU WA KOROSHO 2024/2025
Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania - TMX Godfrey Marekano ameeleza kuwa maandalizi ya uuzaji na uunuzi wa Korosho msimu 2024/25 yameanza...