ENNA SIMION
RC CHALAMILA AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA MKOA WA...
Awataka viongozi na watendaji wa Mkoa huo kutumia mafunzo hayo kuleta ufanisi wa kazi zao za kila siku.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
WAZIRI NDUMBARO ASISITIZA UWANJA WA ARUSHA UTAKAMILIKA KWA WAKATI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati...
TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME
NA MWANDISHI WETU, NAIROBI
TANZANIA imeeleza mpango na utayari wake katika uendelezaji wa nishati ya nyuklia ikiwa ni moja ya vyanzo mbadala vya nishati safi...
KALUME YUPO KWENYE MAUMIVU MAKALI TUMSAIDIE KWA HALI NA MALI”_MHE.NAIBU URIO
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Michael Urio amemtembelea na kumjulia hali mgonjwa Kalume Ally (41) na kuomba Serikali, viongozi wa Serikali kujitokeza kwa...
WAKULIMA WA DENGU MANYARA WATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA SAHIHI ZA KUPOKELEA MALIPO...
Wakulima wa dengu wanaohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Rift Valley (RIVACU LTD) Mkoani Manyara wametakiwa kuhakiki na kukabidhi taarifa zao za kupokelea...
WAZIRI JAFO ATETA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi na...