ENNA SIMION
MHA.CYPRIAN LUHEMEJA AMSHUKURU MHE.DKT SULUHU HASSAN
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
MIAKA 60 JWTZ WAMEFANYA MAKUBWA KATIKA TAIFA LETU _RAIS SAMIA SULUHU
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa...
MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum...
DKT. BITEKO AWATAKA WAGOMBEA KUNADI SERA KISTAARABU
Watanzania wameaswa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 kwa kuchagua viongozi wanaofaa na watakaosaidia kuleta maendeleo nchini.
Hayo yamesemwa leo...
MATI SUPER BRANDS LTD YAPEWA TUZO MAALUMU NA CHUO CHA UKAMANDA...
Na Mwandishi Wetu ,Manyara
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu...
MIRADI YA NISHATI KUNUFAISHA WANANCHI WANAOIZUNGUKA – KAPINGA.
*Huduma za kijamii zaendelea kuboreshwa Songosongo
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo yana miradi mikubwa ya nishati watanufaika...